Mkoa wa Lindi
Mkoa
wa Lindi upo katika ukanda wa Pwani Kusini Mashariki mwa Tanzania na umepakana
na Bahari ya Hindi upande wa Mashariki, mikoa ya Morogoro na Ruvuma upande wa
Magharibi, mkoa wa Pwani upande wa Kaskazini na Kusini ni Mkoa wa Mtwara. Mkoa upo Kusini mwa Ikweta katri ya Latitude
7o55, na 10o longitude 36o55, na 40o Mashariki ya"
Greenwich
"
. Mkoa huu ulizunduliwa rasmi mwaka 1971.Soma
zaidi
Mkoa wa Lindi ni miongoni mwa Mikoa michache ambayo yenye uoto wa asili
Eneo la Mkoa ni kilometa za mraba 67,000 na takriban robo ya eneo
hili – sq.m 18,000 ni mbuga ya hifadhi ya wanyama ya
SELOUS GAME RESERVE. Kati ya eneo hilo lote la Mkoa ni Ha. 5,250,000
ndizo hufaa kwa kilimo na ni asilimia 10 tu ya eneo hilo hadi sasa
linatumika kwa madhumuni hayo.Soma
zaidi
|