• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

Nachingwea yatakiwa kurejesha umiliki wa mabanda ya biashara

Posted on: April 9th, 2020

Halmashauri ya wilaya ya Nachingwea yaagizwa kuhakikisha mabanda yote ya biashara yaliyopo kwenye maeneo yake wanayamiliki.

Agizo hilo limetolewa na mkuu wa mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi alipokuwa kwenye ziara ya kikazi wilayani humo wakati akizungumzia suala la ukusanyaji wa mapato pamoja na uzibaji wa mianya ya upotevu wa mapato.

Zambi amesema halmashauri katika maeneo yake inayomabanda mengi sana lakini mapato yanayokusanywa ni kidogo kutokana na baadhi ya mabanda kuwa chini ya umiliki wa watu binafsi ambao hulipa sh. 5,000 kwa mwezi kwenye halmashauri. Katika mabanda ambayo halmashauri inayapangisha hutoza sh. 80,000 kwa mwezi.

Utofauti huo mkubwa wa kodi ya mwezi ndio uliomfanya mkuu wa mkoa Zambi kumuagiza mkurugenzi kuhakikisha mabanda yote hayo yanakuwa chini ya umiliki wa halmashauri.

“Hakikisheni yale mabanda yote ya biashara yaliyojengwa katika maeneo ya halmashauri mmnayamiliki na kwa maana hiyo mtatoza kodi ambayo ni stahiki ili kuongeza mapato,” alisema Mhe. Zambi.

Mkuu wa mkoa Zambi amesema hata kama kulikuwa na uzembe ulifanyika, sasa umefika wakati wa kuhakikisha taratibu zinazotakiwa zinafuatwa. Na katika utekelezaji wa hili kusijitokeze sababu zozote za kukwamisha utekelezaji wake.

Aidha, ameiagiza halmashauri hiyo kuhakikisha inakuwa na mpango wa kujenga au kuwa na mradi mkubwa unaotokana fedha za makusanyo ya mapato ya ndani badala ya kutegemea fedha za miradi kama hiyo kutoka serikali kuu.

Mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Hassan Rugwa amesema halmashauri imeshaanza kuvipitia upya vibanda vyote ikiwa ni pamoja na kuhakiki uhalali wa umiliki wake kwa wamiliki waliopo sasa. Hivyo amemuahidi mkuu wa mkoa kuwa atasimamia utekelezaji wa agizo alilolitoa na kuhakikisha vibanda hivyo vinakuwa chini ya umiliki wa halmashauri ili waweze kuongeza ukusanyaji wa mapato.

Rugwa pia amesema halmashauri inaendelea na mkakati wa kubuni vyanzo vingine vya mapato na kuhakikisha inaboresha mazingira kwenye vyanzo vilivyopo lengo likiwa ni kuziba mianya ya mapato katika maeneo yote ya makusanyo.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI December 17, 2020
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOBAKIA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2020 - MKOA WA LINDI January 03, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2020 December 07, 2019
  • tazama zote

Habari Mpya

  • MRADI WA USINDIKAJI GESI ASILIA, LNG KUANZA KAZI MKOANI LINDI

    November 13, 2020
  • Nachingwea yatakiwa kurejesha umiliki wa mabanda ya biashara

    April 09, 2020
  • Nachingwea yapewa pongezi

    April 08, 2020
  • Zambi azuia uchimbaji wa dhahabu wilayani Nachingwea

    April 07, 2020
  • tazama zote

Video

Zambi aagiza kampuni za kukopesha fedha zichukuliwe hatua.
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.