• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

Menejimenti ya Serikali za Mitaa

Ndg. Prosper Msarie Roman

Kaimu Katibu Tawala Msaidizi - 

Menejimenti ya Serikali za Mitaa


Lengo kuu la sehemu ya Menejimenti ya Serikali za Mitaa ni kutoa huduma za kitaalam kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa juu ya Usimamizi wa Fedha,Ukaguzi wa ndani,Utawala na Utumishi ili kuimarisha Utawala Bora.

Kazi na majukumu ya Sehemu 

  • Kuziwezesha  na kutoa ushauri wa kitaalam kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa juu ya Matumizi sahihi ya Fedha za Umma.
  • Kuzijengea uwezo Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kuimarisha Utawala Bora.
  • Kuzisaidia Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kupitia upya miundo na uendeshaji wake kama vile vikao vya kisheria na taratibu za uanzishaji wa maeneo mapya ya utawala.
  • Kufanya ukaguzi wa kawaida na ule wa kushtukiza katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kupima utendaji kazi wake.
  • Kuzisaidia Mamlaka za Serikali za Mitaa katika uandaaji wa Bajeti na matumizi ya Halmshauri.
  • Kuratibu na kutoa ushauri wa kitaalam kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa juu ya Usimamizi wa Rasilimali watu katika usaili, kuajiri, mashauri ya nidhamu, kupandishwa vyeo/madaraja, uhamisho na hitimisho la kazi.
  • Kutoa ushauri wa kitaalam kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa juu ya masuala yote ya kiutawala.
  • Kuzielekeza na kuzisimamia  Mamlaka za Serikali za Mitaa juu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi
  • Kuratibu uandaaji, utekelezaji, ufuatiliaji na upimaji matokeo wa Mkataba wa Huduma kwa Mteja katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.
  • Kumshauri Katibu Tawala Mkoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa juu ya Utekelezaji wa Sheria za kazi.
  • Kuzishauri na kuzisaidia Mamlaka za Serikali za Mitaa juu ya masuala ya kisheria kama vile usimamiaji wa mashauri na utungaji wa sheria ndogo.
  • Kutekeleza kazi zingine zozote zinazohusiana na majukumu ya Sehemu hii kama itakavyoelekezwa na Katibu Tawala Mkoa

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI May 13, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI May 13, 2022
  • tazama zote

Habari Mpya

  • WAZAZI WAASWA KUTOKURUHUSU WAGENI KULALA NA WATOTO.

    June 16, 2022
  • MHE. TELACK: “USHIRIKA SIO DUKA LA WIZI”

    June 05, 2022
  • WANANCHI LINDI WATAKIWA KUJITOKEZA KUHESABIWA AGOSTI 23.

    May 18, 2022
  • SERIKALI KUTOA PEMBEJEO BURE KWA WAKULIMA WA KOROSHO

    May 14, 2022
  • tazama zote

Video

Zambi aagiza kampuni za kukopesha fedha zichukuliwe hatua.
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.