Mhe. Zambi akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa mwaka 2016/2017 na 2017/2018 hadi mwezi Machi 2018 kwa upande wa sekta ya afya kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Lindi tarehe 30 Juni 2018.
Katibu Tawala Mkoa wa Lindi, Ndg. Ramadhani Kaswa ameweka Jiwe la Msingi katika Kiwanda cha Kuchakata Magogo cha SOUND AND FAIR kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi.
Tazama kipindi cha tunatekeleza kinachorushwa na TBC1 ambapo Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi akielezea shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na serikali.
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.